Philippe Coutinho awasili Bayern Munich

Philippe Coutinho amewasili kwenye klabu ya Bayern Munich kukamilisha vipimo vyake vya afya ambao anakaribia kujiunga na mabingwa haao wa Ujerumani kwa mkopo kutoka Barcelona.

Coutinho amekubali kujiunga Bayern Munich kwa mkopo wa msimu mzima ambapo klabu hiyo inakipengele cha kumsajili moja kwa moja mwishoni mwa msimu huu.