PICHA: Mashabiki wa Yanga waanza kumiminika uwanja wa Taifa

Siku ya Wananchi imeanza mapema. Tayari uwanja wa Taifa umezingirwa na wenye siku yao.