Tanasha atoa onyo kali kwa Diamond Platnumz


Kutoka Instastory ya Tanasha, Mama kijacho wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ambapo ameeleza kuwa anampenda baba wa mtoto wake lakini akiwa na mtu mwingine, hata kaa amshike tena. (Na baba wa mtoto wake huyo analijua hilo ❤)

Itakumbukwa, usiku wa kuamkia Ijumaa ndani ya Hoteli ya Best Western Coral Beach iliyopo Masaki jijini Dar, ilifanyika baby shower ya Tanasha Donna iliyokuwa maalumu kwa ajili ya kumkaribisha mwanae ajaye.

Shughuli hiyo ilihudhuliwa na watu wake wa karibu, pamoja na wadau mbalimbali na baadhi ya mastaa wa filamu na muziki nchini.