UPDATES: Idadi ya vifo vya majeruhi wa ajali ya lori la mafuta yaongezeka


Majeruhi wa ajali ya moto iliyotokea Mkoani Morogoro wamebakia 18 ambapo wote wapo ICU.

ICU (1,2) Mwaisela wapo 14, HDU Mwaisela (3), ICU ya watoto (PICU-1)
HDU-MWAISELA (3)

Majeruhi mmoja aitwae Rosijo Mollel (35) alifariki jana mchana saa nane na Neema ShabaniChakachaka (30) amefariki saa 11:30 alfajiri ya leo ambaye alilaza ICU iliyopo jengo la wazazi.

Kwa hiyo kati ya 47 waliopokelewa 29 wamefariki, wamebaki 18.