Loading...

8/06/2019

VIDEO: Hali ilivyo Uwanja wa Taifa muda huu kwenye Simba DayLeo August 6, 2019 ni siku muhimu kwa mashabiki wa soka nchini hasa wale wa Simba SC ambapo wanatarajia kuishuhudia timu yao kwa mara ya kwanza katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Power Dynamos huku ikiwa na wachezaji wapya takribani 11 ambao wamewasajili kwa ajili ya msimu huu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger