VIDEO: Hii ndio bei ya viingilio mechi ya Simba SC na UD Songo ya Msumbiji


Msemaji wa klabu ya Soimba SC, Haji manara ametaja viingilio vya mchezo wao wa marudiano wa hatua ya kwanza ya klabu bingwa Afrika ambao watacheza Jumapili ijayo dhidi ya UD Songo ya nchini Msumbiji. Kiingilio cha chini kabisa kwenye mchezo huo ni shilingi 5000 na chajuu zaidi ni 100,000.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE