VIDEO: Hili ndio goli sukari la Yanga walilowafunga AFC Leopards ya Kenya


Klabu ya soka ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya AFC Leopards kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa jijini Arusha kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Goli hilo pekee la Yanga limefungwa na Papy Tshishimbi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE