VIDEO: Magoli yote Simba VS Azam/ Shiboub, Chama na Kahata ni moto


Klabu ya soka ya Simba SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam, mchezo ambao umepigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE