VIDEO: Mbunge Kiza afunguka mengi mazito/ Kuhusu kugombea nafasi ya Lipumba CUF, "Ninauwezo ninajiamini"


Mbunge wa viti maalum kutoka mkoa wa Kigoma kupitia chama cha CUF, Kiza Mayeye, amefunguka mambo mengi mazito ikiwemo mipango ya kugombea nafasi ya uenyekiti ndani ya chama chake ambayo inashikiliwa na Professa Ibrahim Lipumba. Pia amefunguka jinsi wanawake wanavyodhalilishwa kwa kuombwa rushwa ya ngono ili wapatiwe nafasi za uongozi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE