VIDEO: Msajili wa NGO'S aongeza muda wa kuhuisha taarifa zao


Wizara ya Afya Idara Kuu Maendeleo ya Jamii imetoa muda zaidi wa zoezi la usajili na uhuhishaji wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ambayo awali yalijisajili kwa Sheria ya Makampuni, Bodi ya Wadhamini na sheria ya Jumuiya za Kiraia chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ambazo kwa sababu tofouti hazijakamilisha zoezi la uhuishaji kwa mujibu wa Sheria no. 3 ya mwaka 2019.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE