Loading...

8/19/2019

VIDEO: Ngao ya Jamii yawatia jeuri Simba/ Mama Kichuya, Tshabalala watema cheche


Baada ya simba SC kushinda Ngao ya Jamii kwa mara ya tatu mfrulu;lizo Jumamosi iliyopita katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa kuwafunga Azam FC mabao 4-2, mashabiki wa timu hiyo kutoka mkoa wa Manyara wametema cheche kwa kudai watabeba kila kombe wanalokutana nalo mbele yao kwa miaka 10 mfululizo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE 
Loading...