VIDEO; Watu 6 wafariki dunia kwa ajali ya barabarani


Watu 6 wamefariki dunia na wengine 26 kujeruhiwa baada ya gari waliokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori la kampuni ya tumbaku ya Dimoni eneo la oil-com barabara ya Dar es Salaam - Morogoro

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE