VIDEO: Yondani, Dante, Juma Abdul kimeeleweka Yanga, Mwakalebela afunguka/ Kuhusu Township Rollers


Makamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga SC, Fredrick Mwalkalebela ameweka wazi kuwa tayari wameshafikia makubaliano na wachezaji wao ambao wao Kelvin Yondani na Juma Abdul ambao walishindwa kujiunga na wenzao kutokana na madai ya mishahara yao huku akiweka wazi kuwa wanamalizia mazungumzo na Dante ili na yeye ajiunge na timu. Pia ameweka wazi maandalizi ambayo wanafanya kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Township Rollers.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE