VIDEO: Zahera aanza jeuri baada ya kuichapa AFC Leopards/ Uwanja wa hovyo/ Sijajifunza chochote


Kocha wa Yanga SC Mwinyi zahera ameonekana kuanza jeuri zake baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya AFC Leopards ya nchini Kenya uliopigwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE