Manchester City yazidi kupata pigo kwenye safu ya ulinzi

Beki wa klabu ya Manchester City John Stones atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki tano baada ya kuumika misuli.

Kocha wa City amethibitisha hilo kuwa beki huyo ameumia akiwa mazoezini akijiandaa na mchezo wa wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Shakhtar Donetsk siku ya Jumatano.