https://monetag.com/?ref_id=TTIb Manchester United yamuongezea mkataba beki huyu | Muungwana BLOG

Manchester United yamuongezea mkataba beki huyu

Beki wa klabu ya Manchester United Victor Lindelof amesaini mkataba wa muda mrefu na klabu hiyo utakao muwezesha kusalia Old Trafford hadi Juni 2024.

Lindelof 25 ambaye ni raia wa Sweden pia anakipengele cha kuongeza mwaka zaidi kwenye mkataba huo.