Picha: IGP Sirro Mwenyekiti mpya wa EAPCCO


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro ni Mwenyekiti mpya wa shirikisho la wakuu wa Polisi Mashariki mwa Afrika EAPCCO