https://monetag.com/?ref_id=TTIb Prof. Kabudi akutana na Rais wa Marekani, Donald Trump | Muungwana BLOG

Prof. Kabudi akutana na Rais wa Marekani, Donald Trump


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Marekani Mhe. Donald Trump na Mkewe Bi. Melania Trump,Lotte New York Palace in New York.

Prof. Kabudi yupo New York Marekani kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa 74 wa Baraza la kudumu la Umoja wa Mataifa unaofanyika New York,Marekani tangu Septemba 21,2019 hadi Septemba 30,2019.