Tanzania yapaa viwango vya FIFA


Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepanda nafasi mbili katika viwango vya ubora vya FIFA Ranking Vilivyotolewa Leo.

Taifa Stars imeshika nafasi ya 135 kutoka nafasi ya 137 duniani ikishika nafasi ya 38 Afrika na ukanda wa Afrika mashariki ipo nafasi ya 5.  Kwenye mabano ni nafasi timu ilizopanda.

1-Uganda 80 (0)
2-Kenya 107 (0)
3-Sudan 128 (+1)
4-Rwanda 130 (+3)
5-Tanzania 135 (+2)
6-Burundi 144 (+4)