Loading...

9/11/2019

VIDEO: Nape ambana Naibu Waziri wa elimu live


Mbunge wa Jimbo la Mtama (CCM) Nape Nauye, baada ya jana kuvuma katika vyombo vya habari baada ya tukio la kumuomba msamaha Rais Dkt John Magufuli kusuhu sauti yake iliyovuja mitandaoni, leo  ameibuka bungeni na kuhoji ahadi ya Naibu Waziri Elimu sayansi na teknilojia aliyeahidi jimboni mwake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE


Loading...