VIDEO: Upele umempata mkunaji kazi hii naiweza - Kangi Lugola


Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Kangi Lugola amekabidhi uenyekiti wa baraza la mawaziri wa mamcho ya ndani katika mkutano mkuu wa 21 wa shirikisho la wakuu wa polisi wa nchi za  Afrika Mashariki ambapo anakuwa waziri wa 19 ambapo amechukua nafasi hiyo kutoka kwa waziri wa Sudani

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU SUBSCRIBE