VIDEO: Utata kifo cha mke wa mwanajeshi, familia yalia na mume


Utata umeibuka Mkoani Arusha kutokana na kifo cha mwanamke mmoja ambaye anadaiwa  kuuawa na mumewe licha ya kusema kuwa mwanamke huyo amejinyonga.

Mwanamke ajulikanae kwa jina la Surajeni Raphael amefariki Dunia katika eneo la Murieti ambapo inasemekana Mumewe ambaye ni mwanajeshi anatiliwa shaka kuhusika na Kifo hicho ambapo utata uliibuka baada ya mwili kufanyiwa uchunguzi Postmotam mara zaidi ya moja ambapo palipofiki ndugu hao wa marehemu wanasema wamemuachia Mungu

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE