VIDEO: Wananchi wasamaria wema wauungana kuwasaidia waathirika wa ajali ya moto Arusha

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Gabriel Fabian Daqaro ameenda usiku kutoa misaada katika kaya 13 zilizopo mtaa wa migungani kata ya Sinoni Jijini Arusha ambazo nyumba zao zimeteketea kwa moto na kuwacha bila Makazi.

Dc Daqaro ametoa Magodoro, Vyakula pamoja na mahitaji mbalimbali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kwa kuwa katika familia hizo hawakuweza kuokoa kitu chochote.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU SUBSCRIBE