Diamond Platnumz atunukiwa Tuzo ya Heshima nchini Canada


Taasisi ya Kiswahili nchini Canada, Swahili Vision International Association(SVIA) imemtunuku Tuzo ya Heshima msanii Diamond Platnumz kwa kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili kimataifa kupitia muziki wake.