Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara


Baada ya ushindi wa kwanza msimu huu, Biashara United na Mtibwa Sugar zimeanza kujikwamua huku Singida United ikididimia. Huu hapa msimamo wa ligi baada ya mechi saba za mzunguko wa sita zilizopigwa jana na leo.