https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Afisa afya mstaafu anaswa kwa rushwa | Muungwana BLOG

VIDEO: Afisa afya mstaafu anaswa kwa rushwa


Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU, Mkoa wa Dodoma, linamshikilia bw, Emanuel Mziwanda(60) aliyekuwa afisa Afya na Mratibu wa mradi wa Belgian Fund for Food Security(BFFS) katika Halmashauri ya Bahi mkoani hapa kwa kosa la kuisababishia serikali hasara ya shilingi milioni 15 kwa kugushi nyaraka na kumdanganya mwajiri wake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU SUBSCRIBE