VIDEO: DED, Wakuu wa idara wapigwa pingu hadharani, wawekwa ndani saa 48 TALGWU Waibuka


Talgwu Mkoa wa Manyara imelaani kitendo kilichofanya na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti akiwa katika mkutano wa hadhara kijiji cha Magugu wilayani Babati ambapo aliagiza Polisi kuwafunga pingu na kuwaweka ndani wakiwemo wanachama wane wa TALGWU,wakuu wa idara na vitengo wote wa Halmashauri ya wilaya ya Babati na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo ya wilaya ya Babati kwa kosa la kutotii agizo la Mkuu wa mkoa huo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE