Mbunge wa jimbo la Arusha, Godbless Lema amewavaa Katibu MKuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally na Waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola kwa kile anachodai kuwa wanafanya kampeni lakini wanaogopa kuruhusu hata mkutano wa diwani wa Chadema.
Aidha Lema amewataka wanachama wa chama CAHDEMA kwenda kujiandikisha kwenye orodha ya daftari la wapiga kura ili kumchagua kiongozi wanayemtaka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 24 mwaka huu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE