VIDEO: Mtumishi benki aingia kwenye 18 za Kamanda Muroto, akwapua milioni 120


Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, linawashikilia watu watatu kwa makosa mbalimbali, akiwamo mtumishi wa bank ya EXIM kwa wizi wa kiasi cha shilingi milioni 120, alizomuibia mwajiri wake

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE