VIDEO: Zaidi ya tozo na kodi kupunguzwa na serikali


Wafanyabiashara mkoani Manyara, wameahidi kuendelea kulipa kodi kwa hiari baada kuridhishwa na utendaji kazi wa Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Uongozi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE