Loading...

11/10/2019

Afariki baada ya kuzama Mto Msimbazi wakati akiokota chupa


Mtu mmoja anayefanya kazi ya kuokota chupa za plastiki amefariki dunia baada ya kusombwa na maji ya mvua kwenye daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam. DC wa Ilala, Sophia Mjema amethibitisha

Katika picha ni Mkuu wa wa wilaya Ilala, Sophia Mjema  akiwa kwenye zoezi la uokoaji. Zoezi hilo lilifanyika kwa ushirikiano na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger