Loading...

11/13/2019

Mwanamuziki Prezzo alazwa Hospitali kwa kubakwa na wanawake watatu


Mwanamuziki Prezzo kutoka Kenya amelazwa katika Hospitali ya Karen baada ya kunyweshwa dawa za kulevya na kubakwa na wanawake watatu.

Inasemekana alipewa Cocaine na Viagra kabla ya kufanyiwa kitendo hicho na baadaye alikutwa akiwa katika hali ya kutojitambua.

Hadi kufikia sasa Jeshi la Polisi nchini Kenya limesema kuwa tayari linawashikilia wanawake watatu kwa ajili ya mahojiano ya mkasa huo ambao umeshangaza wengi.

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger