VIDEO: ADC ni mwendo mdundo, wagoma kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa/ Watoa tamko zito


Katibu mkuu wa chama cha ADC, Hassan Doyo, amezungumza na waandishi wa habari Jumamosi ya leo kwenye makao makuu ya chama hicho na kuweka wazi kuwa hawatajitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Novemba 24, 2019.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE