VIDEO: Aggrey Mwanri awapa za uso wahitimu ''miguu itaota matende kwa kutafuta ajira''


Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akiwa katika mahafari ya chuo cha AMUCTA kilichoko mkoani humo amewataka wahitimu hao kutumia Elimu waliyopata kwa kujiajiri na si kutegemea kuajiriwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE