Nov 11, 2019

VIDEO: Boma mbuzi bila uhalifu inawezekana - CP Liberatus Sabas

  Muungwana Blog 1       Nov 11, 2019

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas, amewashukuru wakazi Pasua Boma Mbuzi kwa kupunguza uhalifu katika makazi yao, katika hatua hiyo amesema anajisikia furaha sana kusikia wale vibaka na wezi waliokuwa wakiwasumbua wananchi katika maeneo hayo kwa sasa hawapo kabisa, huku akiwataka wananchi hao kuendelea na mshikamano walionao pamoja na vyombo ya ulinzi na

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE

logoblog

Thanks for reading VIDEO: Boma mbuzi bila uhalifu inawezekana - CP Liberatus Sabas

Previous
« Prev Post