VIDEO: CCM yaitikisa ngome ya Chadema, cheki kilichotokea


Msimamizi wa Uchaguzi katika Wilaya ya Arusha Mjini Mh Msena Bina amesema kuwa licha ya tayari kuampeni kuanza siku ya jana lakini wanatarajiwa kufanya uchaguzi katika mitaa 15 peke yake katika kata tofauti ambapo mingine yote wagombea wake wampeta bila kupingwa katika mitaa 152 hivyo wanasubiria tu kuapishwa baada ya kampeni kufikia tamati.

Akizungumza katika mahojiano maalum na Muungwana Tv Bina amesema kuwa katika mitaa hiyo 152 ni vyama 2 tu vimepata nafasi ya kushindana ambao ni CCM na CHADEMA katika kinyanganyiro hicho.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE