VIDEO: Huyu Ajib acha kabisa, aonyesha ufundi wa kuchezea mpira kabla ya mechi


Ibrahim Ajib ni miongoni mwa wachezaji wa chache kwenye ligi kuu Tanzania Bara ambao wanakipaji kikubwa cha kuchezea mpiara. Wwakati wa kupasha misuli kabla ya mechi ya kirafiki kati ya Simba na KMC, Ajib ameonyesha ufundi mkubwa alionao wa kuchezea mpira.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE