VIDEO: Naibu Waziri atoa siku 7 kwa walioficha madini ''wengine tumewakamata''


Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo ametoa siku 7 kwa walioficha madini yasiyokua na vibali kuyasalimisha na kuyalipia kodi kwani baada ya siku hizo opresheni kali itafanyika na kuwabaini ikiwa ni pamoja na kutaifisha mali zao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE