https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: NIDA watoa onyo kali | Muungwana BLOG

VIDEO: NIDA watoa onyo kali


Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) leo Novemba 18 imetoa onyo kali kwa watu wanaotengeneza programu za simu (App) ambazo hazijatengenezwa na mamlaka hiyo kwa kuaminisha umma kwamba wanaweza kupata namba za utambulisho au nakala ya kitambulisho waache mara moja kwani wakibainika hatua kali zitachukuliwa juu yao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE