Loading...

11/30/2019

VIDEO: Prof. Mbarawa atingisha kiberiti , nitabadilisha viongozi mmoja baada ya mwengine


WAziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa amesisitiza kuwa serikali imejipanga kutatua kero za maji huku akiwataka Wahandisi wa Mamlaka za Maji kuhakikisha wanaongeza mitandao ya maji kwa wananchi na kuwataka kusimamia ukusanyaji wa mapato yatokanayo na maji na kuwaonya wataalamu wa kusoma mita za maji kuhakikisha wanafanya kwa waaminifu

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE 

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger