Mkuu wa mkoa Kagera Brig. Jen Marco E Gaguti ametoa wiki mbili kwa wafugaji walioko kwenye ranchi ya taifa Kagoma wilayani Muleba kulipa madeni yote wanayodaiwa na msimamizi wa vitalu hivyo NARCO kiasi cha pesa zaidi ya shilingi milioni 700 na kupeleka risiti ofisini kwake kumuonyesha kuwa tiali wamelipa fedha hizo
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..USISAHAU KU SUBSCRIBE