https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Ujangili Tanzania kwisha, Serikali ya China yajitoa kimasomaso | Muungwana BLOG

VIDEO: Ujangili Tanzania kwisha, Serikali ya China yajitoa kimasomaso


Serikali ya  china  imeahidi  kuendelea kushirikiana na serikali ya Tanzania kukabiliana na vitendo vya ujangili  wa wanyama waliopo katika hatari ya kutoweka Duniani wakiwemo faru na Tembo  katika hifadhi mbalimbali hapa nchini .

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE