VIDEO: Vyama 11 vya siasa vyatoa msimamo uchaguzi, wampa mtihani mzito Waziri Jafo


Vyama 11 vya upinzani visivyo na uwakilishi katika Bunge la Tanzania vimetangaza kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 vikieleza kuwa, “anayesusa chakula ameshiba.”  ambapo pia wamemtaka Waziri wa TAMISEMI, Seleman Jafo  kuingilia kati ili kutatua kasoro zinazojitokeza katika mchakato mzima wa uchaguzi huo

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE