11/16/2019

VIDEO: Vyama 7 upinzani vyatoa tamko lao/ Ni mambo matano mazito

Vyama saba vya siasa kutoka upinzani ikiwemo Chadema, ACT, Chaumma, NCCR, CCK, NLD, UPDP Jumamosi ya leo kupitia kwa makamu mwenyekiti Chadema Abdallah Safari, wametoa tamko lao lenye mambo makuu matano kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika Novemba 24, 2019.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Loading...