VIDEO: Wananchi wakerwa upinzani kujitoa uchaguzi wa serikali za mitaa

Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,Vijiji na Vitongoji Novemba 24 mwaka huu,Wananchi wa Babati Mjini katika Mkoa wa Manyara wameeleza kutofurahishwa na Upinzani kususia Uchaguzi huo.

 Mgombea  nafasi ya Mwenyekiti (CCM) wa Mtaa wa Majengo ya zamani Ali Ninga aneetetea kiti chake kwa mara ya pili anasema kukosekanakwa upinzani kumeondoa maana halisi ya Uchaguzi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE