VIDEO: Aliyetoka kwa msamaha wa Rais ampongeza mke kwa kumpa zawadi ya watoto wanne


Mkazi mmoja wa Tabora anayetambulika kwa jina la Timotheo Silasi aliyehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na kutoka kwa msamaha wa Rais Dk. John Magufuli baada ya kubakiza mwaka mmoja kutoka, amerudi nyumbani na kumpongeza mke wake wa ndoa kwa kumpa zawadi ya watoto wanne ambao mama huyo alizaa na mme wake akiwa gerezani.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE