https://monetag.com/?ref_id=TTIb VIDEO: Gari ya kijana Mtanzania yageuka kivutio, ipo kama nyumba, ina baa ndani | Muungwana BLOG

VIDEO: Gari ya kijana Mtanzania yageuka kivutio, ipo kama nyumba, ina baa ndani


Gari la kijana wa Kitanzania kutoa KilimanjaroKonani limekuwa kivutio katika mashindano ya kutafuta gari yenye muonekano mzuri kuliko yote yanayo fanyika jijini Arusha katika viwanja vya shekh Amri Abedi.

Namnana ambavyo gari hiyo imegeuzwa na kuwa na kila kitu cha nyumba ya kawaida imekuwa ni kivutio kwa wengi wanao litazama gari hilo

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE