VIDEO: Waziri Jafo -Mkurugenzi hapa piga ua hospitali hii lazima ikamilike kwa gharama zenu wenyewe


Waziri wan nchi ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo,amekasilishwa na kitendo cha halmashauri ya wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe,kushindwa kumaliza ujenzi wa hospitali ya wilaya hiyo mpaka sasa inayojengwa kijiji cha Ihanja kata ya Mdandu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE