JPM kuzindua nyumba za jeshi la magereza ukonga

Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Dkt John Pombe Magufuli leo Januari 23, 2020 atafungua majengo ya makazi ya Askari Magereza wa Gereza la Ukonga Jijini Dar es Salaam.

Novemba 2016 aliagiza kutolewa kwa sh. Bil 10 za kujengea makazi hayo.