Maalim Seif, Mwenyekiti ACT Wazalendo waitwa polisi


Mshauri mkuu wa ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad na Mwenyekiti wa kamati ya itikadi na uenezi wa ACT Wazalendo Salim Bimani wametakiwa kuripoti kituo cha polisi Wete Pemba asubuhi ya leo.

Viongozi hao wa ACT Wazalendo wameitwa na mkuu wa upelelezi wa Jinai (RCO) Mkoa wa Kaskazini Pemba